1

Ant Theft BackPack95,000 TZS Negotiable
Set Price Alert

Find it expensive?

MAKE AN OFFER BUY NOW!

Category Clothes, Shoes & Accessories | Other Clothes
Condition Brand New
Price Type Negotiable

Unique Laptop Ant-theft BACKPACK Ni Begi imara zenye sifa za kipekee
.
• HALINGIZI MAJI - Sehemu yake ya Mbele limetengenezwa kwa material maalumu isiyopitisha maji.
.
• KUCHAJI SIMU - Lina uwezo wa kuchaji simu kwani linakuja na wire maalumu ambayo ndani unaweka PowerBank na kuchaji simu kwa USB port iliyopo nje.
.
• REFLECTOR - Sehemu yake ya Mbele lina alama ya Reflector ambayo inaonekana zaidi wakati wa Usiku ili kuongeza Ulinzi
.
• NAFASI - Lina partitions nyingi za kuweka vitu vyako vikapangika kwa usalama kama vile Laptop, tablet, Headphones, Books na mengineyo
.
.
-More Secure
-WaterProof mateial
-USB charging port
-Night security
-More Space
.
Comes with 2 colors (Black | Grey)
.
Bei ni 95000tzs tuu + FREE DELIVERY in Daressalaam, Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu
.

Sales manager

Individual

Do you have
something to offer?

POST FREE AD

Similar Products


More products from EastAfricaTender
Individual