9

WAONE @simugulio, KWA MAHITAJI YAKO YOYOTE YA SIMU

FOB Price 100,000 TZS / Piece
Min Quantity 1 Piece(s)

SIMUGULIO ni duka la simu linalopatikana KARIAKOO mtaa wa AGREY, DAR ES SALAM. Wanauza simu aina zote. Simu zao ni mpya na orginalWanatoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na free delivery kwa wateja walioko DAR ES SALAM, ambapo utaagiza simu unayoitaka kutoka mahali popote ulipo hapa DAR ES SALAM , na utaletewa bila gharama yoyote ya usafiri. Wanatoa huduma pia kwa wateja wa mikoani ambapo, utaagiza simu yako kutoka mkoa wowote ulipo, nao watausafirisha(NB:Utachangia gharama kidogo tu ya kusafirishia)Wanatoa ushauri mbalimbali kuhusiana na masuala ya simu, mfano wanatoa ushauri wa aina gani ya simu itakufaa kwa kuzingatia matumizi yako sawa sawa na bajeti yako, simu gani itakufaa kwa matumizi makubwa ya charge, simu ipi itakufaa kwa camera nzuri kwa kuzingatia bajeti yako na mengine mengi Watakushauri matoleo mazuri ya simu yaliyoko sokoni kwa sasa, kwa kuzingatia vigezo vyote.Hivi karibuni wanatarajia kuanzisha huduma ya kulipa kwa kudunduliza, huduma ambayo itamsaidia mteja kumiliki simu aipendayo kwa kulipa kwa awamu(Stay in touch for any updates)Wasiliana nao kupitia Simu/WhatsApp 0718372355 au Tembelea instagram account @simugulio kwa maelezo zaidi.
Order Now!
REVOCATUS

Similar Products

More products from REVOCATUS