7

Smart watch DZ09, Bei 55k +Free Delivery in Dar

FOB Price 55,000 TZS / Piece
Min Quantity 1 Piece(s)

Smart watch DZ09ni saa ya sim janja unayoweza kuweka laini moja na memorycard na kuitumia kama simu nyingine ya kawaida kabisa ina Bluetooth ambayo utaweza kuiunganisha na simu yako ili upate Taarifa zote za simu yako kama ipo umbali wa ndan ya mita 0-15

inakaa na chaji siku nzima
Ni ya pembe nne kama inavyoonekana kwenye picha
unaichaji lisaa 1 tu
nakuletea ikiwa Mpya Fullbox yaani saa yenyewe ikiwa na betri moja na usb tayali kwa matumizi
unaweza kupiga nakupokea sim kama kawaida
Ni kioo chake ni cha touch
inasound kubwa kama simu ya kawaida kabisa

Niambie umeiona DZ09 nami nitakuletea mpaka ulipo kwa dar es salaam
kuipata hii Piga/sms 674667881
Mikoani natuma kwa bus gharama ni 5000 tuu


Price negotiable: Yes
Condition: New
Order Now!
Sidymdy

Similar Products