7

Smart Watches

FOB Price 55,000 TZS / Piece
Min Quantity 1 Piece(s)

smart watch kali unaweza kuweka sim card na memory card na kuitumia kama simu ya kawaida.unaweza kuinganisha na simu ikakupatia notification zote kama vile meseji ikiingia kwenye simu yako,mtu akikupigia nk.ukikaa muda mrefu itakukumbusha kusimama na kujinyoosha.sleep monitoring. ina bluetooth, bluetooth dialer,call reminder,bluetooth call,whatsapp na application nyingne kama za smartphones/ simu.ina storage na ina support memory card hadi 32gb.screen 240*240 pixel.0.3m camera.anti-loss technology to find phone,simu ikiwambali na wewe ina kualert ,inakuwa rahis kuipigia
Order Now!
Maisha Smart Tz

Similar Products