2

Fundi Simu Za iPhone.

FOB Price 60,000 TZS / Piece
Min Quantity 1 Piece(s)

tunarekebisha matatizo yote sugu yanayohusiana na iphone sio mpaka utume chinamfano-simu kuwaka na kuzima (nand ic)-simu kuwaka na kuishia kwenye apple-simu kushindwa kutouch (touch ic)-simu kushindwa kutoa sauti wakati wa kuongea (audio ic)-simu kushindwa kusoma line (network problems) eg no servicena mengineyo mengipia tunabadirisha vioo , betri ,camera nkbidhaa zetu ni original na zina warranty ya miezi 6bei zetu za vioo ni kama ifuatavyoiphone 5s 60000iphone 6 80000iphone 6plus 120000iphone 6s 120000iphone 6splus 150000iphone 7 150000iphone 7plus 200000iphone 8 180000iphone 8plus. 250000iphone x 300000kwa matatizo madogo madogo kama kunadiri battery,kioo na camera tunakufata popote ulipo kwa gharama zetuwasiliana nasi 0758-897829
Order Now!
PROSPER TECHNOLOGIES

Similar Products

More products from PROSPER TECHNOLOGIES