1

Uber Driver

19 Nov, 2019 14:10 pm 843 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


Natafuta gari ya uber ya mkataba for 2 years. Iwe Ist or Vitz or Toyota raum ts ok for me... mimi ni driver ambaye ni msomi pia nina BA in Business Administration specialization on Procurement and Logistics management. And I love driving and travelling.Mwenye Gari kwa siku nitampa 35,000/ but sunday haipo.. so in a week zitakuwa siku 6 @ 35,000/=.Gari iwe mpya...Pia ninayo hati ya Tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani.And i have a smartphone too.

Category: Services

Video

Video not available

Gabriel Mwaipopo


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone