1

Mafunzo ya Facebook na Instagram Sponsored Ads

20 Nov, 2019 04:00 am 241 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


Panuasoko tunatoa mafunzo ya Jinsi ya Kutangaza Biashara Kupitia Facebook na Instagram kwa kutumia simu yako ya mkononi.Sponsored Ads njia ya uhakika ya kutangaza biashara yako na kunasa mamilioni ya wateja kote nchini.Sponsored Ads ni matangazo ambayo yanaenezwa kwenye akaunti za watu za Facebook na Instagram bila ya wao kuruhusu.Kumbuka kila mwenye simu ya Smart phone basi amejiunga na mitandao ya kijamii hasa Facebook na Instagram.Anafungua Facebook au Instagram kwaajiri ya kuchat na watu wake ana kutana na Tangazo lako. Kwahiyo unahitaji kufahamu namna bora ya kuwalenga wateja wako hasa wale tu wanaohusiana na biashara yako.Mafunzo haya tunayarusha kupitia video kwa njia ya WhatsApp na YouTube. Na Bei ya mafunzo haya ni Sh 10000 tu.Wasiliana nasi kupitia WhatsApp no 0687303910.

Category: Services

Video

Video not available

Abdul


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone