5

MOOREHOUSE SOLICITORS/ MAWAKILI WA UINGEREZA.

01 Oct, 2020 04:10 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


sisi ni mawakili tunaoishi uingereza na tulio bobea katika masuala ya ;-
1- mambo yanayohusu ndoa na talaka kwa raia wanaoishi ulaya
2- mambo yanayohusu viza za wanafunzi watakao kwenda ulaya
3- mambo yanayohusu viza za wafanyabiashara au wafanyakazi watakao kwenda ulaya
4- mambo yanayohusu kuziunganisha familia zilizopo afrika na ulaya
5- mambo yanayohusu haki za raia wa kiafrica anaeishi ulaya
6- mambo yoote yanayohusu wakimbizi wa kiafrica wanaoishi ulaya
7- mambo yanayohusu haki za muafrica alierudishwa kutoka ulaya
8- mambo yanayohusu haki za mwafrica aliyefungwa jela ulaya
9- vibali vya kufanya kazi kwa waafrica walio na elimu ya juu na wenye mpango au fikira za kwenda kufanya kazi ulaya.
10- kumkatia rufaa mwafrica aliyekataliwa viza ya uingereza bila ya sababu za msingi au zisizokubalika.
11- mambo yoote yanayohusu masuala ya uhamiaji wa uingereza.
tunasikiliza wateja wetu na kutoa ushauri kama swala lako tunaweza kulishughulikia au la bila gharama yoyote "bure"
pia kwa kuepusha gharama kwa wateja kutupigia ofisini / uingereza , tumeweka namba ya watsaap/ uingereza ambayo ni sawa na kumpia mtu yoyote africa.
kwa maelezo wasiliana na
zaina ukwaju llb (hons) +447704441186.
[email protected]

Category: Services

Video

Video not available

Hussein


Member Since

Oct 2018Similar Services

More Services from Info Bizcyclone