4

WEBSITE/BLOG: Pata Website au Blog yenye mvuto wa hali ya juu kwa Tsh 149,000.

22 Feb, 2021 04:00 am 0 views

  • Descriptions
  • Video

Descriptions


Kama kichwa kinavyojieleza juu, katika zama hizi za ushindani kwa watoa huduma na wafanya biashara moja ya kitu kinachokutambulisha, kukutangaza pamoja na kufanya biashara au huduma unayotoa kwa wateja wako ipo kisasa zaidi ni kumiliki tovuti(website). Ukimiliki tovuti itakusaidia kujitangaza pamoja na kupata wateja wapya na hivyo kusaidia kuongeza kipato chako ndio maana huwa tunasema TOVUTI ni OFISI yako ya MTANDAONI.Pia itakusaidia kufahamika kwa jamii kuhusu huduma unazotoa na taarifa mbalimbali kuhusu kampuni/biashara yako kama vile mawasiliano, eneo ofisi ilipo, muda wa kazi nk.
Hivyo basi kwa gharama ya Tsh 149,000 tu nitakutengenezea tovuti (website/blog) yenye mvuto wa hali ya juu, iwe ni tovuti ya kampuni binafsi, shule, hospital nk gharama ni hiyo hiyo. Mbali na tovuti nitakutengenezea pages za biashara yako kwenye mitandao ya kijamii (social networks) kama Facebook,Instagram na Twitter. Mwisho lakini sio kwa uchache nitakusajilia kampuni/biashara yako kwenye tovuti ya Google, Hii husaidia sana kampuni/biashara yako kutokea kwenye Google map au kwenye search engine yenyewe mteja ataweza kuona taarifa za ofisi/biashara yako kama vile mawasiliano, ramani ofisi ilipo, muda wa kazi pamoja na vitu vingine vingi. Package yote inapatikana kwa Tsh 149,000 tu.Kwa bloggers wapya wanaotaka kuingiza kipato kupitia adsense nafasi ya kumiliki blog/website ndio hii changamkieni punguzo la bei."TOVUTI YAKO NI OFISI YAKO YA MTANDAONI, KUMILIKI TOVUTI SIO ANASA".Napatikana Dar-es-salaam, Karibuni sana PM.
Kwa mawasiliano zaidi.
Text/Call: 0693201371.
Whatsapp Only: 0714812151.

#website #tovuti #blog #adsense

Category: Services

Video

Video not available

Mwambembela


Member Since

Oct 2018More Services from Info Bizcyclone